ZABURI - SURA YA 123

1 Nimekuinulia macho yangu, Wewe uketiye mbinguni. 
2 Kama vile macho ya watumishi Kwa mkono wa bwana zao Kama macho ya mjakazi Kwa mkono wa bibi yake; Hivyo macho yetu humwelekea Bwana, Mungu wetu, Hata atakapoturehemu. 
3 Uturehemu, Ee Bwana, uturehemu sisi, Kwa maana tumeshiba dharau. 
4 Nafsi zetu zimeshiba mzaha wa wenye raha, Na dharau ya wenye kiburi.

TUMA KWA RAFIKI :

Twitter FacebookMore

 
Kuhusu Huduma Hii | Masharti Ya Utumiaji Wa Tovuti Hii | Wasiliana Nasi | Tangaza Kupitia Tovuti Hii